Wednesday, 5 October 2011

YouTube Launches in Kenya

Kwa Kiswahili
En Français

We are very excited to announce the launch of http://www.youtube.co.ke, a Kenyan version of YouTube. The goal is to give Kenyans an easy way to discover local content and content producers. This means that when users visit the Kenyan domain, they will immediately see the most popular videos in Kenya and local content that matches their interests.

Alongside this launch, we have partnered with local broadcasters and producers to bring content ranging from KBC and NTV news segments to HomeBoyz produced Tinga Tinga Tales to a global audience. To find out more about partnering with YouTube, take a look at our partner resources.

If your internet is slow, try out YouTube Feather. This beta offering helps to ensure that those with low-speed Internet connections can play videos faster. We also have a Swahili version of YouTube that is easily accessible by scrolling to the bottom of the YouTube homepage, clicking “language” and choosing Kiswahili.

We’re very much looking forward to working with Kenyan users and partners to enrich the diversity of the YouTube community and bring more Kenyan content to the web.

Here is a mashup video that celebrates some of the current Kenyan content on YouTube:



Now take out your video camera or camera phone and share your life, art and voice with the world on www.youtube.co.ke!



====

YouTube Yazinduliwa Nchini Kenya

Tuna furaha kubwa kutangaza kuzinduliwa kwa http://www.youtube.co.ke, toleo la Kenya la YouTube. Lengo lake ni kuwapa Wakenya njia rahisi ya kugundua maudhui kutoka nchini na wale wanaoyatayarisha. Hii inamaanisha kuwa mtumiaji anapotembelea kikoa cha Kenya, papo hapo ataona video maarufu zaidi nchini Kenya na maudhui kutoka nchini yanayohusina na mapendeleo yake.

Pamoja na hayo, tumeshirikiana na mashirika ya utangazaji na watayarishi nchini kuleta maudhui kama vile sehemu za habari kutoka KBC na NTV na kipindi cha Tinga Tinga Tales kinachotayarishwa na HomeBoyz kwa ulimwengu mzima. Kujifunza mengi zaidi kuhusu kushirikiana na YouTube, kagua vifaa kwa washirika wetu.

Ikiwa muunganisho wako ni wa kasi ndogo, jaribu YouTube Feather. Toleo hili la majaribio husaidia kuhakikisha kuwa walio na muunganisho wa kasi ndogo wanaweza kucheza video kwa kasi zaidi. Vilevile tuna toleo la Kiswahili la YouTube linalopatikana kwa urahisi kwa kwenda hadi sehemu ya chini ya ukurasa wa nyumbani wa YouTube, kubofya “language” na kuchagua Kiswahili.

Tunatazamia sana kufanya kazi na watumiaji na washirika kutoka Kenya kuboresha utofauti wa jumuiya ya YouTube na kuleta maudhui zaidi ya Kenya kwenye wavuti.

Sasa basi, chukua kamera yako ya video au kamera ya simu na ushiriki maisha yako, sanaa na sauti yako na ulimwengu wote kwenye www.youtube.co.ke!



====

YouTube arrive au Kenya

Nous sommes très heureux d’annoncer le lancement de http://www.youtube.co.ke, une version kenyane de YouTube. Le but de ce lancement est d’offrir aux Kenyans un moyen simple de découvrir du contenu local et d’accéder à ceux qui le produisent. Ainsi, dès que des utilisateurs vont visiter le domaine kenyan, ils pourront immédiatement visualiser les clips les plus connus au Kenya et accéder au contenu local en lien avec leurs centres d’intérêt.

Parallèlement à ce lancement, nous nous sommes associés avec des chaînes de diffusion et des producteurs locaux pour apporter au grand public du contenu allant des informations de KBC et de NTV jusqu’aux contes de Tinga Tinga produits par HomeBoyz. Pour savoir comment devenir partenaires de YouTube, découvrez notre programme partenaires.

Si votre Internet est lent, essayez YouTube Feather. Cette offre bêta permet de mieux visionner des vidéos avec une connexion Internet à bas débit. Nous avons également une version  swahili de YouTube aisément accessible sur la page d’accueil de YouTube : il suffit de descendre en bas de la page, de cliquer sur « language » (langue) et de choisir Kiswahili.

Nous sommes impatients de travailler avec les utilisateurs et partenaires kenyans pour enrichir encore la diversité de la communauté YouTube et apporter plus de contenu kenyan sur le Web.

Alors, faites des films vidéos et audio avec votre caméra ou votre téléphone mobile et partagez-les avec le monde entier sur www.youtube.co.ke!

No comments:

Post a Comment